2 Corinthians 6:11-12

11 aTumesema nanyi wazi, enyi Wakorintho na kuwafungulieni mioyo yetu wazi kabisa. 12 bSisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu.
Copyright information for SwhKC